• Lucy na Emma - Lucy na Emma Wanasherehekea Siku Yao ya Kuzaliwa - Line Kyed Knudsen

Lucy na Emma - Lucy na Emma Wanasherehekea Siku Yao ya Kuzaliwa

Line Kyed Knudsen

Emma awakaribisha wanafunzi wenzake katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa. Ni sherehe ya kuvutia katika chumba cha kuchezea dansi chenye taa za disko na chakula kitamu. Sasa ni wakati wa Lucy kuwa na sherehe yake mwenyewe ya siku ya kuzaliwa. Lakini sherehe yake itakuwa ya kukata na shoka?-

  • Ean/ISBN: 9788726254617
  • Review:
€0.99 bij bol.com